WIZARA ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji imekiri kuwepo kwa uvamizi na ujenzi wa nyumba za kudumu za wananchi katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.
Uwanja wa ndege Zanzibar wavamiwa
Reviewed by Unknown
on
September 12, 2017
Rating: 5
No comments